The late omari omari |
Msanii wa muziki aina ya mchiriku hapa nchini Tanzania Omari Omari amefariki dunia leo. . Marehemu Omari Omari aliwahi kutamba sana na wimbo wake wa mchiriku ulioitwa 'Kupata ni majaliwa'.
R.I.P Omari Omari
May his soul find safe heavens!
ReplyDelete